World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Moja Bila Javanovic anawarejesha kati ..kweli kuna uwezekano wa kuuza mechi na kadi nyekundu juu kwa close??????
 
Nilijua German watauza mechi ili waibebe Serbia.

Hii walishaifanya mwaka 1986 kama sikosei baada ya kupanga mechi na ALGERIA wakatolewa.

Kitakachotokea sasa ni Ghana kufungwa na German na Serbia kuifunga Australia.

Cha muhimu ni keshi Ghana kufunga magoli mengi wakiweza.

mkuu...na conspiracy theories zako......sasa germany si atatoka yy akiuza leo?au imeandikwa wana divine right ya kuwafunga ghana??
 
Huyu refaa A Undiano Mallenco anaweza kuchukua jackpot la kutoaa kadi yaani first haf tu mikadi kibwena!!( six yellow)
 
Tayari moja bila, Serbia anaongoza ...... kazi ipo.... Mi nataka Serbia achapwe ili matumaini zaidi yawe Ghana !!!
 
I'm told that Miroslav Klose is the first German to be sent off in a World Cup match since Carsten Ramelow against Cameroon in 2002. It will be very interesting to see how they react to this...
 
Everything is against the Gers......HT Seb 1 Ger 0, what a game?
 
HT 0-1 serbia.......germany wamesifiwa sana kwa kuwafunga AUSTRALIA......c'mon hawa wacheza RUGBY na CRICKET jamani....... sasa tuwaone wako 10,0-1 behind.......
 
Almanusa wasawazishe kupitia kona zao..ila hata wakitoka sare itakuwa njema kwa Ghana ! Sitegemei kama Ghana watatuangusha kesho kwa wale wacheza cricket na rugby!
 
lakini wajameni hii game mbona sielewi?
au ndo mkakati wa kuhakikisha hakuna ngozi nyeusi?
 
Ghana na German, Ghana lazima wafungwe hata kama watatambika wakiwa wamevaa Kente na dhahabu tupu.
 
_48110996_vidic466getty.jpg

Kitasa cha serbia na mashetani wekundu Leo kina kazi ya ziada
 
Ghana na German, Ghana lazima wafungwe hata kama watatambika wakiwa wamevaa Kente na dhahabu tupu.
Kabisaa upo sawia Sikonge Ghana naona watakuwa na wakati mgumu kama hawatashinda kesho hata kagoli kamoja tu! 4 points katika mechi tatu ni Visa ya kwenda second round
 
Stupid referee decisions are ruining the beauty of the game! Anafanana na refarii wa Mwanza Athumani Kazi
 
Another yellow, this time for Subotic as he lunges in on Ozil. The ref probably got that one right, actually.
 
A great chance for Podolski to equalise. He gets into the left channel and collects Khedira's ball before stroking the ball just wide of the post.
 
Ghana na German, Ghana lazima wafungwe hata kama watatambika wakiwa wamevaa Kente na dhahabu tupu.

mkuu....conspiracy theory yako hai-work,simple.ghana's fate is in their own hands,not in germany,s....whatever germany do,if ghana can beat australia thats it.....its up to ghana.
 
Nemanja Vidic has handled a cross needlessly and Podolski stands over the penalty.
 
cheap penalty for germany.....they missed...justice done...........
 
Back
Top Bottom