vipi bado hakijaeleweka huko!
PODOSKI HAJAFUNGA TU?
Nilijua German watauza mechi ili waibebe Serbia.
Hii walishaifanya mwaka 1986 kama sikosei baada ya kupanga mechi na ALGERIA wakatolewa.
Kitakachotokea sasa ni Ghana kufungwa na German na Serbia kuifunga Australia.
Cha muhimu ni keshi Ghana kufunga magoli mengi wakiweza.
Kabisaa upo sawia Sikonge Ghana naona watakuwa na wakati mgumu kama hawatashinda kesho hata kagoli kamoja tu! 4 points katika mechi tatu ni Visa ya kwenda second roundGhana na German, Ghana lazima wafungwe hata kama watatambika wakiwa wamevaa Kente na dhahabu tupu.
Ghana na German, Ghana lazima wafungwe hata kama watatambika wakiwa wamevaa Kente na dhahabu tupu.