World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Pamoja na kwamba Australia ni wazuri kwenye Rugby na Cricket Kiwango waliochonyesha hawa Wajerumani ninaamini this side WILL go very far in this competition
 
Boateng did it right to Barrack during the FA cup final...

Germans gonna miss Barrack....
 
'Diski' goal celebration craze hits World Cup


376,http%3A%2F%2Fa323.yahoofs.com%2Fymg%2Fworld_of  _sport%2Fworld_of_sport-11122643-1276445660.jpg%3FymdfpSDD3XuF5wUf

Forget famous goal celebrations such as "The Robot" by Peter Crouch and "The Dive" by Juergen Klinsmann, here comes the South African "Diski dance".
The Diski dance, which is performed through heading and kicking an imaginary ball, may be a goal celebration to watch in this World Cup.
South Africa's Siphiwe Tshabalala and his team mates displayed this distinctive dance when they celebrated his goal against Mexico in the opening World Cup game on Friday - and the dance is already sweeping the globe.
Video: Learn how to do the Diski!


Even South Africa's President Jacob Zuma has learnt the Diski dance, which could surpass Cameroon Roger Milla's iconic corner flag dance celebration in the 1990 World Cup.
Hollywood superstar John Travolta performed the dance shortly after landing his Boeing 707 at Lanseria airport, north of Johannesburg, on Wednesday morning.
Goal celebrations are now part of the biggest sporting event and players plan them in advance just in case they find the back of the net.
The Robot goal celebration was so popular that England fans were dismayed when Crouch declared he "wouldn't be doing it any more unless England won the World Cup."
Another popular celebration is "The Snort" by Robbie Fowler reacting to claims that he was a cocaine addict by sniffing imaginary cocaine off the lines on the pitch.
The word Diski is a township slang for football and may also describe the local style of football which focuses on dribbling and other tricks.

Reuters
 
Last edited by a moderator:
1.goli la asomoyan gyan wa ghana lilikuwa zuri sana.goli hili lili fungwa kiufundi kabisa, mfungaji alimhadaa golikipa kuwa angepiga mpira upande wa kushoto wa kipa.kipa mserbia kadanganyika,mpira umepigwa kulia kwake yeye ana vizia kushoto.
2.ghana watafika mbali pamoja naona kuwa waamuzi wengi wanaonekana kuzibania timu za kiafrika.

Mungu zibariki timu zote za africa zinazoshiriki.
 
kombe la dunia 2014 liko brasil na litabaki brasil...
1.timu yoyote yaweza chukua ubingwa,
2.hata hivyo brazil ina uwezo zaidi wa kufanya hivyo
3.KWA BAHATI MBAYA/NZURI NIPO NUTURAL SINA TIMU YA KUISHABIKIA,JAPO KIMOYOMOYO TIMU ZA AFRIKA NAPENDA ZISHINDE?
 
Wakuu waasisi wa total football leo wako uwanjani....naamini hawa watafika mbele karibuni jamvini tuone mtannange huu......
 
saa ngapi inaanza hii?
dah!kudadadeki ni bonge la mechi
 
game imebalance,ingawa kidoogo HOLLAND ndio wana-press sana...wameforce kona now.........
 
mpira sasa hivi almost nusu uwanja...holland wanadominate kila kitu
 
Back
Top Bottom