World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Buluda jana almanusla aniaibishe...
Thanx De Rossi...
Forza Azzuri

hii AZZURI inatia wasiwasi sana,kulikuwa na umuhimu wa kumuita TOTTI, hao kina IAQUINTA,GILARDINHO hamna kitu kabisa na sijui LIPI kwa nini kabeba wchezaji wengi majeruhi
 
slovakia sio wachovu jamani,ni jamii ya czech,skrtel wa liverpool yupo umo.
 
kuuliza si ujinga,ebu nifahamishwe now,

mechi za camerun vs japan,
na ghana vs serbia
zimeunganishwa wapi???sizioni
 
Je SA watamudu kuwepo kwenye match nyingine kwa wingi namna hii?
Wanaweza sana Mkuu maana wale wana ushirikiano mkubwa sana kwenye masuala yao. Mfano mzuri ni wakati wa Apartheid, waliweza kusimama pamoja mpaka kikaeleweka
 
Cameron were poor na kama wakiendelea kucheza hivyo wanafungasha virago kwenye raundi hii ya kwanza. Wasichezee sifa za zamani

lol asanteni wadau maana niliikosa mechi dk za mwisho
kumbe ilitokea kama nivosema awali jamaa-CRN nilipowachek,walileta ubishoo mapema nikaona hawa hawafiki kokote na watachapwa tu na japan...kwanini wanalemba vile???
agrrrr
 
Leo ni siku ambayo haiendani na timu ya Brazil ,nyota zakaskazini zinaonekana kuiinamia timu hiyo na kuipa mzigo mkubwa katika patashika ya leo Brazil itaelemewa vibaya sana, na kuonekana pengine hata haina uwezo wakuvuka duru hili ya mwanzo.

Habari za ndani za timu hiyo ya Brazil ni za kukata tamaa huku wakiwa na wasiwasi mkubwa wa kupoteza mechi ya leo ambayo ni ya mwanzo katika gurupu lake ambalo ni G,shuhuda aliepo karibu na timu hiyo amesema kuwa wachezaji wengi wanaonekana kuchoka na wenye kusononeka wakihofia tukio la kushindwa.

Uswahili wangu unaniambia kuwa hayatashuka magoli chini ya mawili na Brazil haitoambulia kitu,ingawa wanaweza kupata kitu kama penalty itakayopotea kwa kutoka nje au kudakwa au kupanguriwa.

Amini usiamini leo watafungwa mawili kwa yai.
 
Watanzania bana.........mambo ya adakadabla kila sehemu!!

Ndo maana nchi hii shekh Yahya ana nguvu sana mpaka serikalini!!
 
Tunapenda sana kutabiri na umbe umbea ndio jadi yetu na la maana sana ni kushiriki big bro na kufikia fainali basi
 
Haya mambo yako ya kigaguzi tutakuja kukusuta baada ya dakika tisini za mchezo.
Tunakuomba usiende ku delete hii thread kwa nguvu zako za uchawi
Leo ni siku ambayo haiendani na timu ya Brazil ,nyota zakaskazini zinaonekana kuiinamia timu hiyo na kuipa mzigo mkubwa katika patashika ya leo Brazil itaelemewa vibaya sana, na kuonekana pengine hata haina uwezo wakuvuka duru hili ya mwanzo.

Habari za ndani za timu hiyo ya Brazil ni za kukata tamaa huku wakiwa na wasiwasi mkubwa wa kupoteza mechi ya leo ambayo ni ya mwanzo katika gurupu lake ambalo ni G,shuhuda aliepo karibu na timu hiyo amesema kuwa wachezaji wengi wanaonekana kuchoka na wenye kusononeka wakihofia tukio la kushindwa.

Uswahili wangu unaniambia kuwa hayatashuka magoli chini ya mawili na Brazil haitoambulia kitu,ingawa wanaweza kupata kitu kama penalty itakayopotea kwa kutoka nje au kudakwa au kupanguriwa.

Amini usiamini leo watafungwa mawili kwa yai.
 
eti uswahili wangu... uswahili ni uchawi au utabiri? achana na mambo ya kishetani hayo, watu hawa bwana!
 
Hamna anayetizama hawa jamani?

Bao moja bila, Slovakia wanaongoza kipindi cha pili.
 
ZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZ
ZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZ
ZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZ vuvuzela horn! Hawa jamaaa balaa kwa kweli kwa TV yanakera walio uwanjani?
 
Slovakia fans.....

_48079401_slovakfan_reu.jpg

New Zealand fans....

_48079402_kiwis_ap.jpg
 
Back
Top Bottom