World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

What a shot......did maicon mean it??or jabulani effect??
 
labda sasa watatulia na kuanza kushambulia kama nyuki ili kuongeza kiwango cha ushindi.
 
Mmh mgaagaa na upwa lol... But keep on tryin Korea give them hard time! Jamaa mpk kalia mana walikuwa hawaamini kuwa hawafungi!
 
RayB kuna jamaa ana paketi kama mianne za cgara, ila
zana expire ndani ya mwezi mmoja ujao na anagawa bure unaweza kumaliza tukuletee?
 
Haaaa! Siamini kama uyu kiumbe namba9 kakosa goli duuu... Puuuuuu kama kawa...
 
Yani niliona hili! Yani wakorea wanazuiaaaaa tuu hakuna kutafuta goli! Washachoka maskini mweeee.. Ball possession 100% to Brazil hii mbayaaaaa... Sasa mvua yaweza fuata... But mmejaribu si kama Taifa stars hovyooo kabisa!
 
Mmh Robinho nae! Anyway bado nampa nafasi baada ya kupaisha haya 6 la 7 litaingia hahahaa..
By the way uyu kipa wa korea anatoka sanaaaa! Kumbe walikuwa wanamsaidia mabek tu na ndo washachoka!
 
naona huyu refa wa leo ana mpango wa kurudi home na kadi zake zote....
 
duuuh simchezo naona wa korea nao wamepata cha kushangilia safi sana.


beki ya brazil vipi pale ?


comon Ivory Coast its time for Africa.
 
Si ushindi haba....but they still need a lot of improvement in order to compete successful with such teams as Germany, Spain, Argentina etc.
 
Back
Top Bottom