World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

f51ef7b2d9227c04ec9ce0c63ec0861d-getty-fbl-wc2010-match14-bra-prk.jpg



2cf5a9becefad61b3cf33f2008719485-getty-fbl-wc2010-match14-bra-prk.jpg



820c42cb5a331e846d4ec18149f8f22f-getty-fbl-wc2010-match14-bra-prk.jpg



 
Haya vipoza macho hivyo kwa kina Arsene Wenger...upo???...:A S tongue: :A S tongue: :A S tongue:


brazil-world-cup-fans.jpg



brazilian-soccer-fan.jpg




brazil-fans_32958.jpg



sexy-brazilian-fans-88.jpg
 
Guys,

We hate to take our hats to the underdogs! Wajukuu wa Kim Il Sung walikuwa ni mara elfu kuliko Australia. Yule Jong Tae Se na kukuru kakara zake alinifurahisha, bila woga alikuwa akichanja mbuga.

Niliangalia 30 za ngwe ya kwanza na kama hivi ndivyo Brazil wanacheza nalenale, wasahau ubingwa!
 
nawaonea huruma south korea jamani...mvua ya magoli leo...Mungu saidia s.korea waje kukutana na n.korea ili watu tupate pa kuchekea...

Brazil ilicheza na North Korea (inajulikana kama Korea DPR) na sio South Korea - Tafadhali badilisha kwenye thread ili tuonekana kama ma-Great Thinker - who understand the difference between "South" and "North"
 
Brazil ilicheza na North Korea (inajulikana kama Korea DPR) na sio South Korea - Tafadhali badilisha kwenye thread ili tuonekana kama ma-Great Thinker - who understand the difference between "South" and "North"

Heri umesema wewe mkuu.............
 
North Korea walijitahidi sana, waliwabana sana brazil hadi kufikia mahala Louis Fabiano alikuwa anacheza Rafu zisizo na Msingi na Refa akawa anamuonya kwa Mdogo, Brazil did not expected such a wonderful display from North Korea
 
Binafsi naona nafasi ya Ivory Coast kwenye kundi hili ni finyu saaaana kwa jinsi N. Korea walivyopaki treni jana!!

Mpaka Brazil iliwabidi watumie plan B kuweza kuivuruga defense ya wajukuu wa Kim!!
 
oooh sana tu,n.korea walijipanga kuwabana kishenzy na waliweza kiaina,nilikua nacheka kufa
maana brazil waliona duh awa jamaa wametukamia leo goli hatulishiki hahahahaaaa
asa goli lao la mwishi n.korea nimewapenda kwakwel,na brazil km ndo boli lao vile basi wajue uko mbeleni hawagusi goli la( ujeremeni,mexico,paraguay,spain na watabanana na ghana-my thinking)

lol jana ilikua burudani kwakwel,offsides kwa kwenda mbele,na kudata hahahaaa
 
na brazil km ndo boli lao vile basi wajue uko mbeleni hawagusi goli la( ujeremeni,mexico,paraguay,spain

Jamani this is brasil........and it is just a first game in the group stage. Hata Pele huwa anadanganyikaga na game ya taratibu ya wabrazil na hivyo mara nyingi huwa haipi nafasi lakini anajikuta akitabiri kitu cha uongo.

Binafsi I enjoyed the game......pengine kuliko mechi zote toka world cup imeanza last Friday...especially the penetration pass made by Robihno that resulted into a second goal!!

Hao ndio samba boys, the normally dont score so many goals, 3 goals is normally the maximum for them then they start entertaining the fans with wonderful foot works! This is why Dunga decided to take off Kaka and Mello!!

Now the battle remains btn Ureno, Ivorians and N. Korea (both teams have equal chances) on who will join the samba boys to the knock off stage!!
 
Now the battle remains btn Ureno, Ivorians and N. Korea (both teams have equal chances) on who will join the samba boys to the knock off stage!![/QUOTE]

sawa mkuu,ngoja tusubiri tuone
ila kuona kitu/dalili unaona ukilinganisha na vitu kadhaa (tumeona wengine boli lao)
ofkoz jana n.korea walijipanga saaaana kuwabana brazil pale golini!
mpira ulikua mzuri sana ofkoz
 
Haya vipoza macho hivyo kwa kina Arsene Wenger...upo???...:A S tongue: :A S tongue: :A S tongue:


brazil-world-cup-fans.jpg



brazilian-soccer-fan.jpg






sexy-brazilian-fans-88.jpg

uku wanaruhusiwa kuvaa chupi na sidiria uwanjani?
kaazi kweli,hii ingekuwa mahali teh teh teh watu wasingekua wanaangalia mpira
 
Haya mnazi wa Spain ngoja tuone game yao favourite mana jana tumeona jinsi five times Champion akitolewa ulimi nyie na watoto KIM
ukiwakosa spain jimalize! in spain and bosque i trust
hahaha! Sepp anaweza weka zengwe leo ikawa kama jana.. hadi dak 80 spain hajaona nyavu!
 
Vp hii game ya Hondurus na Chile haina mvuto?Sio wanazi kuleta habari za yanayojiri mwasubiria kwenye majina mnayo yajua ...Nimeangalia hii list zao wala sioni jina la star naemjua.Ila so far game 0-0
 
Hii game ni Nzuri sana, CHile wanapiga mpira wa kuvutia kuliko timu zote zilizowahi kucheza so far katika WC 2010

Chile 1 - Hondurus 0
 
Hawa jamaa wameenda kwa mganga baada ya mpira kuaanza au wamevumbua njia mpya ya kuroga ni kuanza ndumba bada ya mpira kuanza na inasemekana walifanya majaribio katika mechi yao na Taifa Star na kushinda kwa mabao matano,mjue tu hizi mechi wafanyazo kabla ya world cup si kujipima wao bali ni kupima nguvu za ndumba zao wanazo au watakazotumia ,kama mliona nilisema watashindwa kwa mabao mawili kilichojiri ambacho bao langu linaonyesha hapa ni kuwa walibadili matokeo au waligeuza kibao na kuwachapa North Korea yale mabao mawili.Walifanya urogaji baada ya mechi kuanza kwa ufupi wanarogea kutoka kwao Brazili.
 
Mhh ..mechi nyingine hizi bana ni lawama tu...

Mkuu Ndege ya Lowassa oopps Uchumi endelea kutupa updates.
 
Back
Top Bottom