World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Kusema kweli mavuvuzela yamepungua sana ,yaani yameshajaa mate.
 
SA wakacheze Rugby tu naona hku kwny FABO tunawashukuru kwa maandalizi mazuri na kuonesha kwa waafrica tunaweza kuandaa WC..Kweli kabisa sioni game plan ya kutafuta ushindi kwa SA zaidi ya pasi zisizona malengo!!
Wale wa Mbagala wameanza kuondoka
 
Hivi jamani ile penati na red card ni kweli au refarii kawabeba uruguay?
 
hawana kitu ilitabiriwa hii kitu kocha hapa so wa kulaumiwa kabisa ni wao hakuna kitu

Binafsi nitamlaumu Kocha wa SA kwa kumuacha Mc Carthy kama ninavomlaumu kocha wa Spain kwa kumuacha Injini Marcos Senna......

Pia ni kwa nini anamuweka benchi kiungo mzoefu MacBeth Sibaya na kuwaweka watoto hawa wanakimbiakimbia tu na michengachenga yao.......
 
SA wakacheze Rugby tu naona hku kwny FABO tunawashukuru kwa maandalizi mazuri na kuonesha kwa waafrica tunaweza kuandaa WC..Kweli kabisa sioni game plan ya kutafuta ushindi kwa SA zaidi ya pasi zisizona malengo!!
Wale wa Mbagala wameanza kuondoka
Ngoja na sisi wa Gongo la Mboto tuanze mbele!.
 
Hivi jamani ile penati na red card ni kweli au refarii kawabeba uruguay?

Refa kachemka pale, nadhani wataaingiza video replays muda si mrefu, diving na bad calls zimekua too much!
 
La tatu hapa wenyeji wametota na vuvuzela zimezima kabisa huhu!
 
Ila Refa kachemka mbaya..........maana kipa hakudhamiria(jamaa kama kajikwaa vile)......kwa kosa hilo sidhani kama kulikuwa na umuhimu wa kutoa Red Card..............Penati ilikuwa ni adhabu tosha............Huyu Refa akipita mitaa ya SOWETO tu tunaye!!!!!!!!!!!!!!

Labda SA wanaweza wabahatisha wachovu France
 
Game imekwisha hapa Luh waSA wamejikunyata kwa baridi na kichapo pia dah..Kinakoooooooooooooooooooooooooooo!!
 
Ila Refa kachemka mbaya..........maana kipa hakudhamiria(jamaa kama kajikwaa vile)......kwa kosa hilo sidhani kama kulikuwa na umuhimu wa kutoa Red Card..............Penati ilikuwa ni adhabu tosha............Huyu Refa akipita mitaa ya SOWETO tu tunaye!!!!!!!!!!!!!!
Labda SA wanaweza wabahatisha wachovu France
Hilo Neno kabisa huyu sijui kama atatoka salama SA
 
What a shame?
_48095063_009557389-2.jpg

Wangefanyaje wakati Kudra haizidi Uwezo!! Leo watalala usingizi wa mangamungamu kweli..Namuonea huruma Kocha Pereila
 
It's not over till it's over....................SA wanaweza wakawaotea wachovu FranceKwa game ya Mexico ilivokuwa nzuri usishangae wakawachapa France)................hahaaaaaaaaaa
Tactically SA wametoka sioni kipya wanachoweza kukifanya kwa wafaransa...
 
It's not over till it's over....................SA wanaweza wakawaotea wachovu FranceKwa game ya Mexico ilivokuwa nzuri usishangae wakawachapa France)................hahaaaaaaaaaa

na mexico pia ana uwezo wa kumfunga France sasa hapa mtu atakae mfunga france magoli mengi kati ya south africa na mexico ndio atapita na uruguay . itategemea mexico atawamudu vipi uruguay.

lool yani hesabu zetu zinaonesha France kibonde lol.
 
Back
Top Bottom