World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

dah kama na GHANA wakishinda leo, kwa mara ya kwanza nitamuachia waifu salari yangu yote ya mwezi huu.hehehehehe
 
Hawatarudi home hao, maana huku viboko vinawasubiri

Hasa Dunga maana kuna wachezaji kama sikosei wawili au watatu ambao ni wakali sana katika league yao. Mmoja nadhani ndiye mfungaji bora aliombwa sana awachague kwenye timu na wapenzi, washabiki na hata vyombo vya habari lakini akaweka ngumu. Sasa atakiona cha mtema kuni, leo Brazili kuna huzuni kubwa sana nchi nzima.
 
dah kama na GHANA wakishinda leo, kwa mara ya kwanza nitamuachia waifu salari yangu yote ya mwezi huu.hehehehehe

Hahahahahahah muachie ya miezi yote iliyobaki hadi December lol!

dah kama na GHANA wakishinda leo, kwa mara ya kwanza nitamuachia waifu salari yangu yote ya mwezi huu.hehehehehe

Mie nimehonga bia mpaka sijui kama nitaweza kulipa but potelea mbali nitaweka bond gari lakini leo nimefurahi sana!!!
 
Duh kumbe kuna mashabiki wa Brazil wengi enh...!!! Jamani mie naamini Ghana ana uwezo wa kufika fainali sasa.
 
hamkawii kusikia invisible ana-upgrade system saa hii,

duh
 
Mie nashangaa maana Brazil ndiyo timu ina wapenzi wengi duniani ikiwemo Tanzania kuliko nchi nyingine yoyote ile duniani, lakini cha kushangaza hapa wenye furaha ya kufungwa kwa Brazil ni wengi mno kuliko inavyostahili. Je, kuna wengine wanangoja kipyenga cha mwisho ili waanze kushangilia timu ambayo ni mshindi?
 
Heheh lazima Gang Chomba aje hapa kupiga kelele..Arsene Wenger yuko wapi?
 
_48240222_dutchgoal_ap.jpg

Back
Top Bottom