Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,205
duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh mie nilikuwa nishanyanyuka kushangilia .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
abadili nini hapo wakati kaweka leo full mkoko?
Mbona mnaniongezea maumivu ya tumbo ninyi bana?Kuna kila dalili za Ghana kupoteza hii game, naona kama hawana mkakati wowote hawa!.
hata system mkuu....sio lazima substitution......
Mbona mnaniongezea maumivu ya tumbo ninyi bana?
Mkuu unajua kwenye ukweli lazima tuseme, haya mambo ya kuji-please kwa kweli hayatusaidii sana.Mbona mnaniongezea maumivu ya tumbo ninyi bana?
Boateng Jerome ni machine duuu pande hilo!
so far so good! Wana create chances i love the way wanavyocheza!
Injured!Uruguay wana-sub mchezaji...wamepanic au?