World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)


Jacob Zuma, Head of State, hana kazi za kufanya zaidi ya kwenda mipirani ovyo ovyo?

mkuu ni heshima kubwa hili kombe kupelekwa nchini kwake.zaidi ya hapo dakika 90 sidhani kama kitaaribu kitu chochote au kwamba kazi za taifa zime simama,hapana ndio maana kuna wasaidizi wake.
 
hehehe leo anaeshabikia uruguay tutamuomba invizibo ampe ban. hii zembe uruguay imekosesha mimi raha ya kulala na waifu last gemu. nyambaaaf!
 
Wenger fanya mambo ya link basi, nilirudi kwenye ile link ya atdhe.net naona wananizingua na justin.tv nao wananizingua na miyeyusho kibao. Ninagonga Thanks kabla hujanipa link.
 
BJ, msumari huo!!! we haya we

Yani nachuchumia mpaka mwisho wa mpira,wakifungwa Uru nitakuwa na raha!!..Nipo mazoezi,leo outing na high heels!!!

Tatizo leo wengi tunasapoti wadachi basi Uru wanaweza kutununish tena,agrrrr!!
 
what a goal......thats a beauty...........stunning..............
 
Nilikuwa kwenye harakati za kukwambia utumie nguvu zako za sheikh yahaya hili goli lije huku nako kitu kikaingia lol.ikabidi ni refresh kushangilia goli kwanza ha ha ha.

the best jabulani goal ever!!!! safi kapiteni

gademu!!!
 
Nilikuwa kwenye harakati za kukwambia utumie nguvu zako za sheikh yahaya hili goli lije huku nako kitu kikaingia lol.ikabidi ni refresh kushangilia goli kwanza ha ha ha.

We acha tu,hawa Uru nafsi inabidi iwasute yani wameingia semiz kama France ilivyo-qualify WOZA..gademu,sitaki kushangilia sana mpaka wanyweshe viwili zaidi!!..
Lile goli kama mambo ya mahesabu yani lilivyoenda mmh!!..Nice touch!!
 
Back
Top Bottom