Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,205
mie leo hela zangu zote nimeweka kwa Holland na ndio siku ya Octopus paul kupigwa mnada kwa kuwadanganya wakina klorokwini lol kwamba spain inashinda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mie leo hela zangu zote nimeweka kwa Holland na ndio siku ya Octopus paul kupigwa mnada kwa kuwadanganya wakina klorokwini lol kwamba spain inashinda.
![]()
Spain no way Almunia is Spaniard ! fully supporting Holland....mkimuona Bellinda mahali mwambieni Masa yuko chat room!
Niko naye kwenye Chat Room bado tuna Machungu ya Kutolewa Argies na German, tunaliwazana, teh teh teh! We endelea kuchoma Mahindi huko CR
kwa mara ya kwanza Spain itamiliki kombe kuu la dhahabu...woooow
Mkuu nadhani wewe ndo mchoma mahindi....nigundua hilo nawahi SMG sijui utajificha wapi maana target mimi 100%
Ha ha ha Yuko CR Offline mode and only Ndege knows ha ha haaaa
kwa niaba ya FIFA na chama cha NCCR Mageuzi, na baraka za pweza paulo , napenda kuwakilisha hili kombe :first: kwa vijana wa SPAIN.
(tunaomba makofi kidogo)
na mjomba villa anachukua golden boot heheheSpain wanachukua leo, Holland WARIE TU!
mie leo hela zangu zote nimeweka kwa Holland na ndio siku ya Octopus paul kupigwa mnada kwa kuwadanganya wakina klorokwini lol kwamba spain inashinda.
![]()