World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

_48321583_009786478-1.jpg

Sintoisahau hii!

....na hii nayo je?

slide_8458_112621_huge.jpg

Robben kukosa nafasi kama hile sasa hili li pweza lenu linaweza kuwa linatumia nguvu za giza ha ha ha.linaanza kunitisha nomaa.
 
Robben kukosa nafasi kama hile sasa hili li pweza lenu linaweza kuwa linatumia nguvu za giza ha ha ha.linaanza kunitisha nomaa.

Huyu Pweza inaonekana si Mtabir bali ni Mganga maana inaonekana anainterfere Matokeo ya Mechi, hata ile mechi ya Jana Pweza alimnyima Forlan Goli dakika za Mwisho ili kutimiza Matakwa yake, German washinde
 
Back
Top Bottom