World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Crotia wameosha soka zuri sana na wamepata goli lakihistoria kiukwel!

Goli la kubahatisha lile c uliona hata walivyoshangilia hawakuamini
Yaani hapa nasubiri bao la pili lazima tuwafunge wa Croatia tu
 
hivi hili jamaa linalosumbua hapa mbela ambaye ni mchezaji wa croatia ni mchezaji wa buyern munich
 
Huyu refa mzushi, ameanza kuwapa free kicks Brasil za bure. Anatoka uchina uchina ipi?
 
Back
Top Bottom