Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo Brazil leo... Walau niwaunge mkono vijana wangu 🙂
Tuendelee tu usiwe na haraka si umeona nao croatia wanatandaza kandanda safiKazi imeanza mkuuu
TayariNgumu sana, goli la kusawazisha ndio linakuja muda si mrefu
Crotia wameosha soka zuri sana na wamepata goli lakihistoria kiukwel!
Utakuwa tu hauna usingizi brazili wanaofungika hawaBrazil wins asiposhinda silali
Hivi safari hii kaa ndio anatabiri?Wewe ndo yule kaa anayetabiri
Na wewe uko uwanjani unacheza au ?Goli la kubahatisha lile c uliona hata walivyoshangilia hawakuamini
Yaani hapa nasubiri bao la pili lazima tuwafunge wa Croatia tu
Yah safari hii kaa ndo anatabiri na ametabiri Brazili kushinda mechi ya leoHivi safari hii kaa ndio anatabiri?
Aisee hiki kiwaanja kinawaka hadi raha halafu wabrazil wanapenda mpira sana daaa wamejaa utafikiri hawakuwai kuandamana.
Na wewe uko uwanjani unacheza au ?
watalii 6 hawajulikani walipo source FBI