World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

brazil na yanga ni sawa kuanzia jezi mpaka kipigo 5-0" haaahaha
 
Sema ndio km kweli Mohamed Hussein "Mmachinga" anamzidi kiwango Fred wa Brazil...
 
Kutokana na rada zangu magoli yataanza baada ya dakika 19 za kipindi hiki cha pili. au kwenye dakika 25 za mwisho


*Angalizo jezi za Mjeru zilizotawala ni
nyekundu na Nyeusi
, sasa rangi hizo ni rangi za mauaji tu akuna salama kwa Brazili leo
 
Hii Brasil inanikumbusha Miami Heat na Germany wananikumbusha San Antonio Spurs
BAK
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Leo naona magoli mengi sana hapa zaidi a kumi na hali yangu imekuwa nzuri kwani najua haya iweje magoli hayarudi haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…