Kibunango
Platinum Member
- Aug 29, 2006
- 8,468
- 2,349
Kwa kumbukumbu tu we' ni mshabiki nguli wa Brazil...Lakini jamani mlitegemea nini kutoka kwa Mjerumani? Kuanza tu kamchapa bingwa mtetezi Spain magoli matano na leo tayari kamchapa "host" matano yale yale! Cha kushangaza ni nini? Niambieni mimi ninayeshabikia magoli tu bila kujali anayefungwa ni nani! Mashabiki wa Brazil ombeni tu msivunje rekodi ya dunia kwa kuruhusu matano zaidi; hii itakuwa balaa!
