World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

BRAZIL tangu mechi ya kwanza walionyesha sio timu nzuri....mechi zote wameshinda kwa mbinde tofauti ya goli moja moja na hajakutana na timu za kutisha....hapa kwa mjerumani ndio ilikuwa mwisho wake,HII NI REALITY CHECK!!!! Brazil walikuwa wabovu tangu mwanzo sasa kipindi cha pili wafanye damage limitation otherwise record ya germany vs saudi arabia[8-0] itavunjwa leo maanake MUELLER ana goli tano anahitaji magoli mawili awe top scorer two consecutive world cups.... MILOSLAV CLOSER AMEKUWA ALL TIME WC TOP SCORER.......

Mexico ndiyo mapema waliotakiwa kuwatoa Brazil
 
lakini jamani mlitegemea nini kutoka kwa mjerumani? Kuanza tu kamchapa bingwa mtetezi spain magoli matano na leo tayari kamchapa "host" matano yale yale! Cha kushangaza ni nini? Niambieni mimi ninayeshabikia magoli tu bila kujali anayefungwa ni nani! Mashabiki wa brazil ombeni tu msivunje rekodi ya dunia kwa kuruhusu matano zaidi; hii itakuwa balaa!

hivi wewe unaangaliaga mpira kweli??au ndio michepuko!baki njia kuu mkubwa,aliyempiga spain 5 ni holland sio germany
 
Leo kila shabiki na kiti chake...


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
haya magoli yanaweza kuleta vita kuu ya 3 ya dunia (WWIII)............
 
We acha tu Mkuu mie leo siku yangu bomba sana nimefanya shughuli zangu chap chap ili kuhakikisha naona mpira huu kwa kituo, halafu kunakuwa na midabwada kama hii dakika 26 tu mechi imekwisha!!! Dah!!!

Yaani Brazil haijawahi niumiza kiasi hiki, nina wasiwasi fainal itachezwa huku helcopter zikizunguka juu.
Hapatatosha huko, hakuna wabarazil watakaoingia kuwaona wajerumani.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ninachompendea germany hanaga cha kuremba, anapiga vyuma tu
 
Huyu mbweha hastahili hiyo rekodi is not even near the great forwarders ever happen in the world of football history....


_76133059_eef42ad1-b4c6-40d8-a08f-f6f8b265571d.jpg
 
Hivi matokeo yakibaki hivihivi mpaka dk90 taifa stars itapanda viwango vya fifa eenh?
 
Back
Top Bottom