World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

WEWE MTOTO ACHA KUPENDA VIBOVU UTADUMAAA

2401888_big-lnd.jpg
 
Kwa matokeo ya leo mpira wa kesho natumaini utakuwa mkali sana maana Argentina wamemrudisha Aguero fasta awasaidie kina Mesi et al .... . itakuwa ubabe ubabe tu .... .
 
Makosa yamefanyika tayari. Yalianza pale walipokubali kufanya haya mashindano. Walifanya makosa kushiriki. Walofanya makosa kukubali kufunhwa
 
Naah hawajazidiwa kivile bana....hilo nakataa kabisa.

Brasil wamechemka mno kwenye defense na kuwapat fursa hao Wajerumani na kufunga magoli tu.

Scolari kanisikiliza....ameingiza defensive midfielder[ramirez] kamtoa striker[hulk] kufanya damage limitation,ambayo kachelewa!!! the damage is done!
 
brazil watapata matatu, ila ujerumani ndo sijui watapata mangapi zaidi!
 
Lakini jamani mlitegemea nini kutoka kwa Mjerumani? Kuanza tu kamchapa bingwa mtetezi Spain magoli matano na leo tayari kamchapa "host" matano yale yale! Cha kushangaza ni nini? Niambieni mimi ninayeshabikia magoli tu bila kujali anayefungwa ni nani! Mashabiki wa Brazil ombeni tu msivunje rekodi ya dunia kwa kuruhusu matano zaidi; hii itakuwa balaa!
 
Back
Top Bottom