World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

bado siioni sababu au kikwazo kwa ujerumani kutochukua hili kombe mwaka huu
 
Endeleeni kuishi kwa matumaini.....Reality Germany anawashikisha adabu leo!

Mie nimekubali kuwa mechi imeisha nimekubali mapema, nilikasirika ila baadae nikacheka maana magoli yaliingia mengi sana
 
Mpeni pole mbrazil mwenzenu

BsDPxM9IcAIJY9c.jpg
 
Bongo tumeshapata utetezi mpya kwa timu zetu.Utasikia "Anapigwa brazil 5 bana,tena kwenye kombe la dunia!Itakuwa sisi kufungwa tatu kwenye ligi!?"

tena watasema kapigwa nusu fainali sembuse mie huku mtibwa
 
Schuller(shula/Chura) anakuja kupata goli lake kama sio mawili.
 
Brazil has won the World Cup five times and played 102 matches in the process.
 
Labda tusiiseme sana Brazil hii,huenda tuna expectations kubwa toka kwao kwa vile tunawalinganisha na akina marcos,dida,ceni,cafu,lucio,roque junior,edmilson,roberto carlos,belleti,Anderson Polga,junior,ricardinho,Gilberto silva,rivaldo,gaucho,kleberson,vampeta,juninho,ronaldo,denilson,edilson,luizao,kaka..dah,kwa kweli tutakuwa tunawaonea tu akina Hulk kuwaweka mizani moja na hawa mitume!tukubali kuwa tulibahatika kuona the golden generation of soccer players sio tu Brazil,bali duniani,na sio rahisi kurudia enzi zile mara kwa mara.tuwaweke akina Neymar mahali pao,hii mitume ya zamani tuiache tu kwenye museums zetu vichwani.basi tena,ndo Luiz huyo na kafreekick kake,goli la pili,hongera Brazil lakini msiwataje kabisa wale mitume wa soka,hawafanani na hii brazil yenu ya leo.wangekuwa wale wanacheza nisingekuwa na muda wa kuandika post ndefu hivi!

Dalili za mvua...leo nimehakiki maneno yangu mwenyewe
 
Back
Top Bottom