Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi nawapenda as long as wanawatesa Brasil
scolari alifanya kosa kumwacha ramirez nje huku akijua silva hayupo uwanjani. luiz siyo beki akiwa peke yake.
Endeleeni kuishi kwa matumaini.....Reality Germany anawashikisha adabu leo!
tufunge hata moja haya magoal walokosa tungekuwa na matatu sasa
duu! hadi umechapia!!!!!
hivi wewe unaangaliaga mpira kweli??au ndio michepuko!baki njia kuu mkubwa,aliyempiga spain 5 ni holland sio germany
Bongo tumeshapata utetezi mpya kwa timu zetu.Utasikia "Anapigwa brazil 5 bana,tena kwenye kombe la dunia!Itakuwa sisi kufungwa tatu kwenye ligi!?"
yaani we waache tu
Hawa ni Brazil wakichina...
Labda tusiiseme sana Brazil hii,huenda tuna expectations kubwa toka kwao kwa vile tunawalinganisha na akina marcos,dida,ceni,cafu,lucio,roque junior,edmilson,roberto carlos,belleti,Anderson Polga,junior,ricardinho,Gilberto silva,rivaldo,gaucho,kleberson,vampeta,juninho,ronaldo,denilson,edilson,luizao,kaka..dah,kwa kweli tutakuwa tunawaonea tu akina Hulk kuwaweka mizani moja na hawa mitume!tukubali kuwa tulibahatika kuona the golden generation of soccer players sio tu Brazil,bali duniani,na sio rahisi kurudia enzi zile mara kwa mara.tuwaweke akina Neymar mahali pao,hii mitume ya zamani tuiache tu kwenye museums zetu vichwani.basi tena,ndo Luiz huyo na kafreekick kake,goli la pili,hongera Brazil lakini msiwataje kabisa wale mitume wa soka,hawafanani na hii brazil yenu ya leo.wangekuwa wale wanacheza nisingekuwa na muda wa kuandika post ndefu hivi!
Mpeni pole mbrazil mwenzenu
![]()