palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,459
brazil wamevunja rekodi, haijawahi tokea kamwe!
Hii inathibitisha kwamba kumbe USA, Algeria & Ghana ni timu nzuri. Waliwadhibiti vilivyo hawa wataalamu...
unajua kuna ile baadhi ya timu walivyotolewa wanarudi home watu mnakuwa proud kwamba hawa watu wamefight Sana ila haikuwa bahati lakin kwa Brazil ni habari nyingine.
Kabisa dear magoli 6, Brazil ipo kama imesimama. Hawa walienda kutambika na kwenye kaburi la babu yao H.
Hivi hao washabiki bado wanasubiri nini hapo?