palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,459
wachezaji wa ujerumani leo waliulizwa nini matarajio yenu wakasema hatukuja kushiriki haya mashindano bali kuchukua kombe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
brazil wamevunja rekodi, haijawahi tokea kamwe!
Hii inathibitisha kwamba kumbe USA, Algeria & Ghana ni timu nzuri. Waliwadhibiti vilivyo hawa wataalamu...
unajua kuna ile baadhi ya timu walivyotolewa wanarudi home watu mnakuwa proud kwamba hawa watu wamefight Sana ila haikuwa bahati lakin kwa Brazil ni habari nyingine.
Kabisa dear magoli 6, Brazil ipo kama imesimama. Hawa walienda kutambika na kwenye kaburi la babu yao H.
Hivi hao washabiki bado wanasubiri nini hapo?