World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Bora fainali aingie Argentina ili German apige mtu goli 7 zingine
Hureee teamGerman all the way to the crown
 
Sheria itungwe sasa kama kwenye ngumi, refa akiona timu imepigwa magoli matano na dalili za kurudisha hazipo amalize pambano.

Huu ni udhalilishaji wa karne.!
 
lol!!!! kuna mtu hapa alikuwa ananiuliza mbona hawashangilii? Nikamwambia goli 8 - 1 unashangilia nini?

Hata kushangilia hawajashangilia,da kwa kweli ajabu na kweli
 
Defence ya Brazil na forwaed zilikuwa mbovu toka mwanzoni sema bahati zikatufikisha hapa tulipo leo na kupokea kchapo amacho ni historia. Ila hawatalia maana waliona mapema kuwa wasingeshinda labda malaika waje kuwasaidia
 
Defence yao ni mbovu sana nadhani kuliko timu yoyote ile katika mashindano haya. Ujerumani hawakucheza mpira wa kutisha ila nafasi zote walizozipata leo wamezitumia vizuri.

Yaani magoli manne ndani ya dakika sita?
 
Juan Zuniga nasikia alipewa pesa na wajerumani amvunje Nyemar, teh teh teh\

 
nikiambiwa nichague timu upya nachagua Japan wamefungwa goli 3 mechi zao 3 halafu hakuna anayekumbuka.
 
Team Brazil kutokuwa na wachezaji muhimu kama hawa: Thiago Silva & Neymar, matokeo ndiyo haya!
 
Team German tupumzike sasa ili tuamke salama tujenge nchi,taifa.
 
Defence yao ni mbovu sana nadhani kuliko timu yoyote ile katika mashindano haya. Ujerumani hawakucheza mpira wa kutisha ila nafasi zote walizozipata leo wamezitumia vizuri.
Tiago silva alikuwa ana fanya kazi kubwa sana na hii timu ilikuwa frastuated
 
Reactions: BAK
Leo sijui kama patakalika Brazil. Tutegemee fainali ikiwa na watazamaji wachache kuliko zote zilizowahi kutokea katika historia ya Kombe la Dunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…