Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio nikasema wajeshi watakuwa wamemwagwa kwenye majiji mengi.
hata leo asilale nyumbani kwake. anything can happen
Kwa hiyo wabrazil walitegemea kabisa kuwafunga wa jerumani? Basi wabrazil wengi ni wagonjwa.hata leo asilale nyumbani kwake. anything can happen
kipa wa brazili julio ceasar ndio asilale nyumbani, mwingine ni fred asilale nyumbani....
Historia mbili zimewekwa leo kwa Germany kufunga magoli ya haraka haraka hasa yale ya mwanzo 5 ndani ya dakika 18.
Na ya pili ni host kubugizwa magoli 7-1 aaaww historia mbaya sana hii, haikutakiwa kuwekwa kbs.
Mimi naomba niwaage rasmi humu, nimehuzunika sana timu yangu kuniumiza hivi.
Sitatokea tena basi, nawashukuru wote humu.
Kwaherini, kila la kheri kwa wale timu zao bado zipo, tutaonana kombe la dunia likiisha. Bye!!!