World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Kwa kumbukumbu tu we' ni mshabiki nguli wa Brazil...
Hapana mkuu mimi si shabiki wa timu yoyote inayoshindwa/iliyoshindwa! Mimi ni mwana michezo in the real sense; ndiyo maana nilisema toka mwanzo huu ni ushindani kati ya Ulaya na Amerika Kusini. Nitakuwa shabiki wa timu ya Taifa siku serikali ng'ang'anizi hii itakapoachia madaraka, nchi iweze kupiga hatua. Chini ya CCM? hata huo ubingwa Afrika tutakuwa tunausikia tu. Sasa subiri kesho tushuhudie machozi mengine yakimwagika!
 
Jose Mourinho's reaction to David Luiz's performance

BsDZCYvCcAAn8im.jpg:large
 
mwenye namba za customer care wa DSTV anipe kwa sababu sijalipa siku nyingindo maana tv zao zinanidanganya
 
Team Brazil kutokuwa na wachezaji muhimu kama hawa: Thiago Silva & Neymar, matokeo ndiyo haya!
Tiago silva alikuwa ana ibeba hii timu ndio maana kocha alikuwa ana mlilia jamaa ni zinga la beki.
 
Team Brazil panadol zinapatikana kwa kutuliza maumivu haraka.
 
Historia mbili zimewekwa leo kwa Germany kufunga magoli ya haraka haraka hasa yale ya mwanzo 5 ndani ya dakika 18.
Na ya pili ni host kubugizwa magoli 7-1 aaaww historia mbaya sana hii, haikutakiwa kuwekwa kbs.

Mimi naomba niwaage rasmi humu, nimehuzunika sana timu yangu kuniumiza hivi.
Sitatokea tena basi, nawashukuru wote humu.
Kwaherini, kila la kheri kwa wale timu zao bado zipo, tutaonana kombe la dunia likiisha. Bye!!!
 
Leo hakuna kisingizio chochote, Brazil alifanya makosa ambayo asingeweza sahihisha na kilichomtokea ndio hichi hapa.kocha na benchi lake wafukuzwe ikibid wafungwe maisha. Fred anyongwe kwa kutofunga hata goli moja na aliemchagua apigwe viboko sawa na magoli waliyofunha German.
Silva achinjwe kwani alifanya makusudi kupata ile kadi ya njano.
Huyu kipa anyongwe mara 7 kwa kufanya uzembe kuruhusu hayo magoli.
Luiz na Dante wakatwe miguu na ulimi kwani mipira imepitia kwao.
Marcelo n Maicon wapewe mali za wachezaji wenzao kwani wao walijituma.
Paulinho akatwe tumbo kwa kishindwa kuzia wauaji kufika kwao.
Benard asemehewe kwani alikuwa hajacheza na walikuwa hawamwamini.
Hulk wamchune ngozi kwani anatumia nguvu nyingi kuliko akili.
Oscar wakamuuze awe kiburudisho kwani hajafanya lolote lile zaidi ya kupoteza mipira na kufunga gol moja la machozi.
Kocha akatwe mikono na angolewe meno yote kwa kushindwa kelekeza na kuongea na wachezaji.
 
Miroslav Klose became the World Cup's all-time top scorer as Germany hit Brazil for seven to reach the final.
 
Back
Top Bottom