World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Tokea nianze kuangalia kombe la dunia mwaka 1998,sijawahi ona timu inafungwa mabao 7
hukuangalia match ya Saudia Arabia vs German ,world cup ya 2002 iliyofanyika Japan na Souh korea?
wc 2002
Saudia 0-8 Germ
Lakini hapo haikuwa maajabu kwa Saudi akupigwa 8-0 ila leo imekuwa ajabu tena ajabu sana!
 
Dah umenikumbusha mbali, Sweden Norway na nchi moja nimesahau jina...walikuwa na mipira enzi hizo!
 
Pole Victoire, hakuna aliyetegemea hii mediocre performance toka kwa Brazil. Naomba tu huko Brazil wasiuane leo kwa matokeo haya.

Tokea nianze kuangalia kombe la dunia mwaka 1998,sijawahi ona timu inafungwa mabao 7
 
Last edited by a moderator:
Pole Victoire, hakuna aliyetegemea hii mediocre performance toka kwa Brazil. Naomba tu huko Brazil wasiuane leo kwa matokeo haya.

Hata Wajerumani wenyewe hawakutegemea kabisa haya matokeo!

Mi nshahimisha chama......karibu chama la Argentina......
 
Hautakuwa pekee yako nadhani mashabiki wengi wa #TeamBrazil hapa jamvini sasa watahamia #TeamArgentina.....#TeamArgentina.... sitapenda kuona kombe linaenda Ulaya.

Nimehamia rasmi Argentina sasa....

Messi legoooooooooooooooo

Nataka sana kombe libaki Americas
 
Usiku mwema wadau,#teambrazil poleni sana tukubali tumeshindwa,Germany Hongereni sana hii history mliitamani sana kwa miaka mingi hatimaye leo imetimia kwa kishindo.
 
Dah umenikumbusha mbali, Sweden Norway na nchi moja nimesahau jina...walikuwa na mipira enzi hizo!

Denmark? akina Michael Laudrup ? hawa timu 3 ni ndugu walikuwa wakikutana ni full kupanga matokeo....!!!
 
Hautakuwa pekee yako nadhani mashabiki wengi wa #TeamBrazil hapa jamvini sasa watahamia #TeamArgentina.

We vipi? Mbona naona kama uko noncommittal?

Au Wajerumani wamekutisha?

Ujerumani hawakushinda hii mechi. Ni Brasil ndo wameshindwa!

Performance ya leo ni very un-Brasil-like!

Yaani timu iliyohangaishwa na Ghana, Marekani, na Algeria ndo iifunge Brasil mabao saba?

Brasil just didn't show up today.
 
Nimekumiss sana. Upo kimya, nini ilikuwa shida?? Mbona ukimya mkuu?

daah bana mtandao hapa nilipo unazingua sana....halafu mods pia siwaelew sometime wananiunganisha na id nisizozijua basi nashindwa kukoment...sijui nifanyaje
 
Nisome tena banaaa...#TeamArgentina kama kawa.

 
Ila leo sleep-aids zinahusika sana maana hmm.....kulala itakuwa shida kidogo.
 
Nisome tena banaaa...#TeamArgentina kama kawa.

Got ya!

#TeamArgentina legoooooooooo

Hopefully nao hawatatuangusha kama hawa Brasil.

Coz they got punked today. That wasn't even an ass-whupin. They got straight up punked.

Hii gemu imenikumbusha Super Bowl kati ya Seahawks na Broncos na jinsi ambavyo Broncos walitandikwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…