Scolari aliichagua team yake miaka 3 iliyopita na wala hakujali viwango vipya!Kocha ajaye amlete Miranda wa Atletico acheze na Silva na Fernandihno!Fukuza Dante na Paulihno lkn muache Luiz kama reserve
Brazil leo wamecheza kama Ruvu stars.
Kesho asubuhi father akiamka na kuniuliza kuhusu Brazil, sijui nimjibu vipi. Maana ana presha.
Sijui nimwambie "Boko Haram wameiteka timu ya Brazil au Boko Haram wamemteka refa mechi haikuchezwa" sijui nisemeje!
Jamani naomba ushauri na babaangu nampenda
cc andybird314 BAK Skype Katavi andate
and the winner is holland what i see...asante Mkongwe...
and the winner is holland what i see...
jana nilikuwa na kalkuleta na visoda pembeni ili nijumlishie magoli
Kama katavi rangers
Nimewaonea huruma, sijui wale waliokuwa wanapinga WC isifanyike Brazil wanajisikiaje sasa hivi.
Even Germany is confused about that result
Jeff Carlisle jeffreyCarlisle
Follow
Scolari said German players told him after the match, "We don't know how this happened." #BRAvsGER
6:20 PM - 8 Jul 2014
Source
lol!! Wameona wenyewe kandanda walilolicheza halikuwa la kutisha kiasi hicho, Algeria, Ghana au USA leo wangeweza kabisa kushinda....labda walitegemea Scolari awape majibu ya nini kilichojiri maana nao wamepigwa na bumbuwazi.
Nilimuona David Luiz akilia kwa uchungu baada ya mechi. Nikakumbuka nadhani 2002 Oliver Kahn Golikipa wa Ujeruman akilia kwa uchungu mara baada ya timu yake kula kichapo na Brasil mechi ya fainali. Ijapokuwa wamefungwa magoli mengi, sawa na kipigo cha mbwa mwizi, lakini ndo hivyo tena!
Una chuki sana na brasil lakin ndo timu itakayobeba ndoo hili na wamefika hapo kwa nguvu zao binafsi bila kubebwa na white pig hao watakalia 3 au zaid.
Siikubali Brazil hii lkn Mkoloni HAWEZI hata kumsumbua Brazil sababu ya central back za Mkoloni ni wazito mno na kuumia kwa Mustafi ambaye ndiye mwenye kasi pale ni pengo sana kwao!!
Brazil atafungwa na Argentina fainali sio MKOLONI
You were saying?
Duwa la kuku wala mwewe hatikisiki, kuku akitowa shingo tu mwewe anaondoka nayo.
Brazil utaichukia lakin wanapiga soccer kwa kiwango tofauti kila uchapo kiwango chao kinapaa.
Kama katavi rangers
Mhhhhhh! relax banaaaa ni aje lol! hahahahaha...unataka watu waususe huu uzi!?