Kigogo
JF-Expert Member
- Dec 14, 2007
- 20,508
- 6,183
Scolari aliichagua team yake miaka 3 iliyopita na wala hakujali viwango vipya!Kocha ajaye amlete Miranda wa Atletico acheze na Silva na Fernandihno!Fukuza Dante na Paulihno lkn muache Luiz kama reserve
Dante na maicon ni wa kupelekwa mahakamani.dante tumbili kabisaa
