World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Na hizo ndo sifa za "BINGWA"...angalia hata anapocheza ovyo bado anaibuka mshindi,ni kweli hakuna alietarajia goli hizi lkn mshindi alijulikana kabla ya mechi
mourihno na wengineo!Kosa lake Scolari kuchagua team kwa mazoea!!Why unamuacha beki Miranda kwenye team ya hovyo kama hii?

Pato Alexandre alistahili awemo na awe anaanza pia kipa huyu hana hata team na hajacheza mechi yyt kubwa kwa mwaka na nusu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu naongea hapa kila siku!!Huwezi chukua kombe la Dunia eti Neymar ndiyo striker wako tegemeo!Neymar enzi za Ronaldo na Rivaldo hata Brazil under 23 hachezi

Ukimuacha Thiago Silva, hakuna mchezaji wa Brazil angeitwa hata kwenye kikosi cha majaribio cha Brazil ya 1994 au 1998. Hivyo ndivyo soka la Brazil lilivyoporomoka na pamoja na ukongwe na uzoefu wake, Scolari ameshindwa kabisa kulihandle swala la Neymar, tena nashangaa hajabwaga manyanga mpaka sasa
 
Mkuu naongea hapa kila siku!!Huwezi chukua kombe la Dunia eti Neymar ndiyo striker wako tegemeo!Neymar enzi za Ronaldo na Rivaldo hata Brazil under 23 hachezi

Angalia wakongwe hawa....pele,Zico,Romario,Ronaldo de Lima (El fenomena)...walikuwa wanapigana dakika zote kwa ajili ya timu sio kudeka deka tu muda wote km motto wa mwisho bhana....Neymar bado ana safari ndefu sana
 
Duh!! Acha ile ndoto ya jana ilikuwa mbaya sana,jamani mi sijapata usingizi kabisa nikifumba jicho tu naona beki za brazil zikapotea halafu inakuwa goli,jamani acheni tu!!!!
 
Nahisi ataondoka Jumamosi baada ya mshindi wa 3 kupatikana!!
 
mourihno na wengineo!Kosa lake Scolari kuchagua team kwa mazoea!!Why unamuacha beki Miranda kwenye team ya hovyo kama hii?

Pato Alexandre alistahili awemo na awe anaanza pia kipa huyu hana hata team na hajacheza mechi yyt kubwa kwa mwaka na nusu

Hapo kwa Miranda kwa kweli binafsi nilisikitika, ndio maana kina Costa wanaamua kuchezea nchi za watu. Miranda, Fillipe Luiz sio watu wakukaa bench. Na Lucas Moura je, utamfananisha na winga gani ya Brazil?
 
Last edited by a moderator:
Miroslav Klose breaks Ronaldo record FIFA WC leading goal scorer 1.Klose 16 goals,2.R.De Lima 15 goals,3.Gerd Muller 14 goals......bado tunasema Germany hastahili kuchukua WC?tukubali ukweli hata km unauma jamani
 
Hapo kwa Miranda kwa kweli binafsi nilisikitika, ndio maana kina Costa wanaamua kuchezea nchi za watu. Miranda, Fillipe Luiz sio watu wakukaa bench. Na Lucas Moura je, utamfananisha na winga gani ya Brazil?

Hata beki za pembeni za Brazil zinacheza bado"tiktak style"kwenda mbele kuahambulia muda wote kukaba kidogo!Style hii ya mabeki imeshindwa kufanya kazi Spain!!Alves Dan na Maicon na Marcelo madudu tupu na tupa leta wengine
 
Wakubwa,team German baada ya jana kufurahiya Leo mnashauri tuingie team gani? Enh
 
Mkoloni alicheza vyema mechi ya kwanza na Ureno;akazimika kabisa na Ghana akawa wa kawaida tu na USA!

Akazidiwa na Algeria then akacheza hovyo na France!Hata ww hukutarajia bao 7 hizi;tuwe wakweli jamani

Ni kwel Brasil wamefungwa haya magoli kwa uzembe wa beki na kutojituma lakini german hawana cha maana mpka kuwaona kama miungu watu. Hata wao hawakutegemea.
 
andybird314 nimekutafuta sana!
pole sana mkuu!
unakumbuka kauli yangu?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…