Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,833
- 11,173
mourihno na wengineo!Kosa lake Scolari kuchagua team kwa mazoea!!Why unamuacha beki Miranda kwenye team ya hovyo kama hii?Na hizo ndo sifa za "BINGWA"...angalia hata anapocheza ovyo bado anaibuka mshindi,ni kweli hakuna alietarajia goli hizi lkn mshindi alijulikana kabla ya mechi
Pato Alexandre alistahili awemo na awe anaanza pia kipa huyu hana hata team na hajacheza mechi yyt kubwa kwa mwaka na nusu
Last edited by a moderator: