Argentina tunaomba messi aendeleza
Hapo fainal itanoga
Nisome tena banaaa...#TeamArgentina kama kawa.
Fainali bila ya Brazil au Argentina mimi hutaniona kwa kweli!!!
Team Holland leo,kombe liende ulaya hili,likienda ulaya naanza kusave kwenye kibubu changu,nakivunja 2016 kwa ajili ya kwenda kushuhudia EURO CUP 2016 FRANCE,tena itanoga zaidi team inayochukua WC14 ndo ikachukue EUR CUP 16,in this case Holland au Germany!
Pozea kwa mshindi wa tatu make upo uwezekano mkubwa brazil na argentina kukutana.
Wakubwa,team German baada ya jana kufurahiya Leo mnashauri tuingie team gani? Enh
Mkuu naongea hapa kila siku!!Huwezi chukua kombe la Dunia eti Neymar ndiyo striker wako tegemeo!Neymar enzi za Ronaldo na Rivaldo hata Brazil under 23 hachezi
Mhhhh!!!! ngumu kumeza, ila hope Argentina wamejifunza kitu kwa mechi ya jana,leo wataingia kivingine.
Duh!! Acha ile ndoto ya jana ilikuwa mbaya sana,jamani mi sijapata usingizi kabisa nikifumba jicho tu naona beki za brazil zikapotea halafu inakuwa goli,jamani acheni tu!!!!
Acha ushabiki wako neymar ana kiwango kikubwa tu
I Me and Myself
Neymar asinge hata itwa kwenye team ya Brazil ya mwaka 1998-2006!Pato angesimamiwa angefanya mambo zaidi ya Neymar
Kikosi cha kwanza kama mchezaji Gustavo asingeitwa hata Brazil under 19!Lkn leo Gustavo eti ndiyo mido panga pangua wa Brazil