World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Team Holland leo,kombe liende ulaya hili,likienda ulaya naanza kusave kwenye kibubu changu,nakivunja 2016 kwa ajili ya kwenda kushuhudia EURO CUP 2016 FRANCE,tena itanoga zaidi team inayochukua WC14 ndo ikachukue EUR CUP 16,in this case Holland au Germany!
 
Ah!! nawe best umeshaanza mambo yako!!! haya tusubirie hizi mechi za sasa siyo za kutabiri kabisa.
 
Wakubwa,team German baada ya jana kufurahiya Leo mnashauri tuingie team gani? Enh

Mbona unahamahama sana wewe? Ina maana wewe kila inayoshinda ndo unaishabikia? Sisi wengine timu zetu zikitolewa huwa tunabaki watazamaji! Bahati yeti sisi bado tunakamua mpaka dakika ya mwisho!
 
Mkuu naongea hapa kila siku!!Huwezi chukua kombe la Dunia eti Neymar ndiyo striker wako tegemeo!Neymar enzi za Ronaldo na Rivaldo hata Brazil under 23 hachezi

Acha ushabiki wako neymar ana kiwango kikubwa tu
 
Duh!! Acha ile ndoto ya jana ilikuwa mbaya sana,jamani mi sijapata usingizi kabisa nikifumba jicho tu naona beki za brazil zikapotea halafu inakuwa goli,jamani acheni tu!!!!

Bahati nzuri jana niliangalia mpira kupitia tbc,
Ah kuna mchambuzi mmoja anazidi kutia nuksi
 
Acha ushabiki wako neymar ana kiwango kikubwa tu

Neymar asinge hata itwa kwenye team ya Brazil ya mwaka 1998-2006!Pato angesimamiwa angefanya mambo zaidi ya Neymar

Kikosi cha kwanza kama mchezaji Gustavo asingeitwa hata Brazil under 19!Lkn leo Gustavo eti ndiyo mido panga pangua wa Brazil
 
Last edited by a moderator:
Neymar asinge hata itwa kwenye team ya Brazil ya mwaka 1998-2006!Pato angesimamiwa angefanya mambo zaidi ya Neymar

Kikosi cha kwanza kama mchezaji Gustavo asingeitwa hata Brazil under 19!Lkn leo Gustavo eti ndiyo mido panga pangua wa Brazil

Lizee Fred halina chochote lifanyacho. Sijui Scolari alimpendea nini?
 
Back
Top Bottom