Sawa mkuu, usi'log off hadi game iishe.Tusiandikie mate wakati wino upo. zimebaki dakika 40 tuu uone nguvu za England
Italy unawatoa hata kabla haujawaona mkuu.
Kwanini Welbeck asicheze Mbele wing wanampoteza na Rooney pia Wing wanampoteza wangemuweka Raheem kutoka bench Barkley kuanza angekuwepo Ox ningependa kuona OX kulia Raheem kushoto then welbeck bench ila hivi Raheem angekaa Bench Barkley aanze.
Kwanini Welbeck asicheze Mbele wing wanampoteza na Rooney pia Wing wanampoteza wangemuweka Raheem kutoka bench Barkley kuanza angekuwepo Ox ningependa kuona OX kulia Raheem kushoto then welbeck bench ila hivi Raheem angekaa Bench Barkley aanze.
Costa Rica hapiti,na Uruguay hajatoka bado.subirini muone
Sawa mkuu, usi'log off hadi game iishe.
Leo Mpinzani wangu wa Man U upo na Mie safi sana tehtehteh #TeamEnglandCOME ON ENGLAND.......
[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=TeamEngland]#TeamEngland [/URL]
Rio Fredinand anaramba ramba ulimi game bado inaonyesha anawasiwasi ok Mie jamani mtanipata baada dk 90+4
Mbona mashabiki wa Italia ni wengi leo?mie ni shabiki wa Italy lakini sikutegemea dunia iegemee kwetu kirahisi hivi,isijekuwa mbinu ya media za UK kuwapumbaza waitaliano.sidhani kama mechi ni rahisi kwa Italia kihivyo.tusibweteke na hizi sifa leo maana...
Group imeshakuwa ngumu kwa wote kwa haya matokeo ya leo
Ross Barkley mzuri sana alitakiwa kuanza bench yupo Chamberlain nadhani kutokana na majeruhi kocha kahofia kumuanzisha, Italy mbele wana watu wazuri wameweka washambuliaji watatu Claudio Marchiso pamoja na Antonio Candreva na Mario Balotelli.Kwanini Welbeck asicheze Mbele wing wanampoteza na Rooney pia Wing wanampoteza wangemuweka Raheem kutoka bench Barkley kuanza angekuwepo Ox ningependa kuona OX kulia Raheem kushoto then welbeck bench ila hivi Raheem angekaa Bench Barkley aanze.
Kua kitu kimeja sijatendea haki hiii mechi, ilitakiwa nikainaglizie mjini ila kwa sababu nimeona kuna anti #TeamEngalnd wengi hapa JF wacha tukomaa nao hapa online
[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=Teamengland]#Teamengland [/URL]
Siogopi Kama ulivyosema Anti England Humu wengi Captain wao Rubaman.Unaogopa ehe? Italy wanakutisha
Leo Mpinzani wangu wa Man U upo na Mie safi sana tehtehteh [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=TeamEngland]#TeamEngland [/URL]