World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Italy unawatoa hata kabla haujawaona mkuu.

Huyo mshabiki wa England,hajawaza uwezekano wa Italy kuifunga England Yenyewe halafu hata Uruguay bado watajipanga
 
Kwanini Welbeck asicheze Mbele wing wanampoteza na Rooney pia Wing wanampoteza wangemuweka Raheem kutoka bench Barkley kuanza angekuwepo Ox ningependa kuona OX kulia Raheem kushoto then welbeck bench ila hivi Raheem angekaa Bench Barkley aanze.

Welbeck akicheza kati kwahiyo Rooney au Sturridge mmoja wapo awekwe benchi? Raheem atawakimbiza mno ndio maana ni vizuri aanze "Kumbuka OX yupo fit na yupo bench"

Leo ushindi mzuri sana kwa England

#TeamEngland
 
Mbona mashabiki wa Italia ni wengi leo?mie ni shabiki wa Italy lakini sikutegemea dunia iegemee kwetu kirahisi hivi,isijekuwa mbinu ya media za UK kuwapumbaza waitaliano.sidhani kama mechi ni rahisi kwa Italia kihivyo.tusibweteke na hizi sifa leo maana...
 
Rio Fredinand anaramba ramba ulimi game bado inaonyesha anawasiwasi ok Mie jamani mtanipata baada dk 90+4
 
Kwanini Welbeck asicheze Mbele wing wanampoteza na Rooney pia Wing wanampoteza wangemuweka Raheem kutoka bench Barkley kuanza angekuwepo Ox ningependa kuona OX kulia Raheem kushoto then welbeck bench ila hivi Raheem angekaa Bench Barkley aanze.

energy ya Welbeck inahitajika ku-track back.
 
kikosi cha malikia elizabeth hicho
 
Attachments

  • 10460214_447369662067168_6180120131376108991_n.jpg
    10460214_447369662067168_6180120131376108991_n.jpg
    23.9 KB · Views: 35
Mbona mashabiki wa Italia ni wengi leo?mie ni shabiki wa Italy lakini sikutegemea dunia iegemee kwetu kirahisi hivi,isijekuwa mbinu ya media za UK kuwapumbaza waitaliano.sidhani kama mechi ni rahisi kwa Italia kihivyo.tusibweteke na hizi sifa leo maana...

#Italy
 
Kwanini Welbeck asicheze Mbele wing wanampoteza na Rooney pia Wing wanampoteza wangemuweka Raheem kutoka bench Barkley kuanza angekuwepo Ox ningependa kuona OX kulia Raheem kushoto then welbeck bench ila hivi Raheem angekaa Bench Barkley aanze.
Ross Barkley mzuri sana alitakiwa kuanza bench yupo Chamberlain nadhani kutokana na majeruhi kocha kahofia kumuanzisha, Italy mbele wana watu wazuri wameweka washambuliaji watatu Claudio Marchiso pamoja na Antonio Candreva na Mario Balotelli.
 
Back
Top Bottom