World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Nawaona Argentina wanacheza kwa tahadhari kubwa sana iliyoambatana na wasiwasi...!
 
Mechi ya Holland na Costa Rica... Holland waliweza kufikisha jumla ya pasi 692 ikiwa ni rekodi kwa mechi moja!
 
9 mins: Good passing from both, but no real fireworks yet. Like two heavyweights jabbing their way through the first round
 
Jana hadi dakika hii Brazil walikuwa wameshalizwa.... Argentina wamejitahidi kuliko Brazil
 
Reactions: BAK
Duh Holland wameshaingia Fainali za Kombe la dunia mara 3 na wakaondoka patupu, wakishinda leo itakuwa mara ya 4. Yangu macho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…