Mhh!! Leo tunaweza lala saa 8 kama si tisa.
hapo itabidi uikabili ilekazi yakuntotesha maji ya marid 0600hrs, vinginevo du ntakuwa matatizon.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhh!! Leo tunaweza lala saa 8 kama si tisa.
Si wafungane hawa? Mabao ya extra time hayanogi
Naah....I'm still recovering from the shock.
halafu sema ukweli.....wewe mwenyewe hukutegemea ile gemu ya jana kuwa vile.....
Hawa watu wanasababisha hata nisione match........ dah
hapo itabidi uikabili ilekazi yakuntotesha maji ya marid 0600hrs, vinginevo du ntakuwa matatizon.
Sasa tunaweza kuhabarishana sio game linapigwa mnatuma coments tunashindwa kufaudu wakuu
Poa tu na za kwako? Usitukimbie leo 🙂🙂 maana kwa kulala "mapema" tu umetia fora lol!!!
hapo itabidi uikabili ilekazi yakuntotesha maji ya marid 0600hrs, vinginevo du ntakuwa matatizon.
Naah....I'm still recovering from the shock.
halafu sema ukweli.....wewe mwenyewe hukutegemea ile gemu ya jana kuwa vile.....
Watu gani?
ma superstar uchwara wa bongo. kulikua na bonge la ugomvi.
Mhh!! Leo tunaweza lala saa 8 kama si tisa.
habari zenu.........