World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

A picture paints a thousand words...

_76163467_023095073-1.jpg
 
Nikiwa kama Refa wa kujitolea humu na kwa niaba ya wanasport wote humu, ndugu Katavi popote pale ulipo tunakuomba sana tena sana USITAJE timu unayoishabikia,wewe umekuwa ni zaidi ya Mtabiri humu,hatukunyanyapai ila tunakupenda sana.

cc MEANDU BAK Malafyale Bantu lady, Victoire, Heaven on Earth, Bulldog, @BWAN'CHUCHU, adolay, s.crony mournho Skype DEMBA na wengine wote.

Hakuna uwezekano wa kupitisha petition kumomba mod siku ya fainali hata kwa muda tu ampige ban "Muheshimiwa" Katavi.....nachukia kuangalia soka ambalo matokeo yanajulikana kabla mpira kuanza
 
Back
Top Bottom