World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Haya,mambo hayoo,yanakaribia,jamani presha imenipanda sana.ngoja niconcentrate na tv sasa.forza italia ila kama kawa,mtaburudika sana na masongi ya kufa mtu toka kwa mashabiki wa England.hapo tu,waingereza wananikuna sana,ni kuimba mwanzo mwisho ha ha haa,subirini muone ila tunawachapa tuu,na masongi yao
 
England wamuangalie sana mkongwe Andrea Pirlo kwenye mipira ya kufa na pasi za mwisho.
 
mimi na Italia hope watawaliza hawa wajukuu wa malikia Eliabeth
 
Swali la kizushi watu wengi wanachukia strikers waki dive wanasema cheat je mabeki akivuta vuta flana sindio dive Yao? Ni cheat au? Mfano Kama Skertel vile anavyofanya ni mabeki wengi ndio tabia zao.
 
Kuna jamaa anahojiwa tbc from belgium,anakwambia huko , serie a ni maarufu tofauti na huku kwetu ambako ni premier league mwanzo mwisho.watu wanazungumzia kikosi cha Italia zaidi kuliko England.kweli duniani tunapishana.


Kweli wewe mtaliano Wa damu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…