Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
#team Italy# kiroho safi.
England itapigwa 3 kwa 2.
#Teamengland
here we are
England wamuangalie sana mkongwe Andrea Pirlo kwenye mipira ya kufa na pasi za mwisho.
England wamuangalie sana mkongwe Andrea Pirlo kwenye mipira ya kufa na pasi za mwisho.
Kua kitu kimeja sijatendea haki hiii mechi, ilitakiwa nikainaglizie mjini ila kwa sababu nimeona kuna anti #TeamEngalnd wengi hapa JF wacha tukomaa nao hapa online
#TeamEngland
hamna kitu walifikaje WorldCup au walifika Kama mbunge wakuteuliwa Dodoma.Hapo Sina timu ila England hamna kitu.
Kuna jamaa anahojiwa tbc from belgium,anakwambia huko , serie a ni maarufu tofauti na huku kwetu ambako ni premier league mwanzo mwisho.watu wanazungumzia kikosi cha Italia zaidi kuliko England.kweli duniani tunapishana.