World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Niliwahabarisha kuwa goli n moja bila ,au tofauti ya goli moja
Najua mtaumia sana wapenzi wa ARG kwani wanaonekana wamechukua umiliki wa kucheza ,hilo si tatizo kwa mshindi kwani linahitajika goli moja tu , heasabu dakika kumi na saba za mwanzo kama si hivyo basi dakika 23 za mwisho
Kumbuk atu hii ni lala salama !
 

We mrith wa shehe yahaya nini?
 
Diver wa Wadachi amekwaa kisiki leo ... .... .. .
 
Ila wingu kubwa mechi imefunikwa na wingu zito jeusi kwa maana ushindi unaweza kwenda kiccm yaani matokeo kubadilishwa ,ili kuyapa nguvu mashindano na pia kuingiza faida kubwa ,South Amerika against Europe ,ila hali ni ngumu kwa ARG kushinda japo wamemiliki jukwaa !
 
Me huku Nalia na mengi mashindano ndo yanaisha hivyo mama ngina sijui ntakuwa namtokaje aisee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…