hapana ushanishawishi tutafika mwisho lazima hatakama ni penati, ok tuutazame
Nilisema kuanzia dk ya 70 goma litafunguka hili.goli hadi goli sasa.
ngoma dk120 hii. watu hawataki kufungana.
Tunakataliwa goli halali hapa na refa uchwara
Hamna goli la bwerere leo. Ni kukaza mwanzo mwisho!
Nimempenda midfielder wa Holland number 20 mgongoni
Kweli.mechi ngumu mno