World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Kama sio hii freekick nisingejua kama messiah yupo uwanjani.nilijua katolewa halftime
 
Nilisema kuanzia dk ya 70 goma litafunguka hili.goli hadi goli sasa.
 
Snijder.. free kick mbovu x 3 sasa / kumbe ndiyo maana alikimbilia ligi ya Uturuki
 
ubaya wa game namna hii mtu atapigwa kimoja tu dk ya 89...wabaki kugalagala km wale wa jana....
 
Tuzidi minya makende yetu wenye.jinsia kama yangu!Tusichoke jamani ushindi unanukia
 
Mpira mbona umeboa? Utamu wa mpira ni magoli na mpaka sasa hatujafaidi uhondo wowote! Naitisha maandamano kudai magoli!
 
Back
Top Bottom