World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Goli halli refa kaliminya!Tusichoke kuongeza ubani ushindi unanukia
 
Mtanipa matokeo... Naona mechi itakwenda dakika za nyongeza 30 kama sio penati.... tukutane hapa J2 tuone watakaolia.... Lakini dogo wa Holland number 20 ananifurahisha anavyocheza. Sijui jina lake nani na anachezea timu gani, naamini muda si mrefu atakuwa katika soko.
 
Uholanzi weupe kumbe naona wameishiwa mbinu wanacheza bora liende tu now.
 
Bora final aingie Argentina maana Holland ataendeleza rekodi ya kufungwa tu kwenye final na asipoingia Argentina ataendeleza machungu kwa Brazil kwenye mshind wa 3
 
Dahhh...Hii Gemu ya leo ni tamuu..Hii ndo 1/2 final bana.....Siyo yale mashindano ya Netball jana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…