Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuzidi minya makende yetu wenye.jinsia kama yangu!Tusichoke jamani ushindi unanukia
mhhh Robben
Goli halli refa kaliminya!Tusichoke kuongeza ubani ushindi unanukia
Goli lipi jamani? Au tunaangalia mechi mbili tofauti? Au wengine mnaangalia mkiwa "under the influence"?
Tafiti zinasema hata mikwaju itakataa, mshindi atapatikana kwa shilling.lolz
Hujaona hiyo offside ya ajabu mkuu!