World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Usiku mwema na fainali njema wakuu,WC nzuri sana hii.congratulations Argentina na Germany Mourinho mie narudi kijijini kwetu kule Turin na Milan.world cup imekuwa chungu kweli kwangu,sina apetite na timu hata moja fainali.

Pole Mzee mwenzangu, umeongea kwa uchungu mpaka nimenyong'onyea. Anyway usiku mwema Mkuu wangu
 
Last edited by a moderator:
Pole zako Mkuu.

Usiku mwema na fainali njema wakuu,WC nzuri sana hii.congratulations Argentina na Germany Mourinho mie narudi kijijini kwetu kule Turin na Milan.world cup imekuwa chungu kweli kwangu,sina apetite na timu hata moja fainali.
 
mechi ya mshindi wa tatu nayo tamu..brazili aki collapse tena kazi kwake...lol

Hivi Bossman kweli kabisa unadhani Brasil ataweza ku-recover kutoka kwenye kichapo cha jana?

Sidhani kwa kweli. Sasa hivi taifa lote limevurugwa kabisa na sitegemei washinde mechi ya mshindi wa tatu hiyo Jumamosi.

Itachukua miaka mingi sana kwa Brasil ku-recover. Kile kisago kilikuwa out of this world bana......si masikhara.

Hivi kwanza wataji-motivate vipi kwa hiyo mechi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…