BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Dah!!! Ndiyo tunakaribia kufika ukingoni, matokeo ya jana yaliniudhi sana, lakini siku niliyoumia kupita kiasi ni katika mechi ya Ivory Coast na Greece kwa yule referee kutoka Ecuador kutoa penalty kukiwa kumebaki sekunde 30 tu, nilikosa raha kwa siku kama mbili au tatu. Kwa maoni yangu Kombe la Dunia 2014 mechi nyingi zilikuwa bomba sana ukilinganisha na 2010 kule South Africa. Haya Wadau tunaoenda kulala usiku mwema.