Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi sana!
Ujinga mwingine unakuwa hauna mfano.
Sijaelewa ni kwamba Messi ndo alipiga penat zote?au yeye ndo alidaka?au yeye ndo alipanga wapigaji?
hujalala tu?
watu waliwaabudu sana netherland na hii argentina iliwasaidia kwani waliweza kujipanga. Mesi akichukua kombe nitafurahi Sana....Cristiano Ronaldo anatamani kufa huko aliko.
nakutania tu. mie kwanza ndiyo nafika home hapa ila fainali nitashangilia #teamgermany .Sijalala Mkuu, wewe mbona hulali? Halafu hujasema fainali uko wapi?
umeongea kweli watu wengi waliamini holland anasonga mbele lakini tangu wacheze na costa rica na kulazimishwa kwenda dk 120 holland ilikuwa siyo timu ya kufika mbali. Leo viungo vyao vilikufa kabisa.
wewe kama mimi mkuu...WAJERUMANI wana discipline ya mpira hata kama huwapendi unawakubali,,,,Messi kweli anastahili but kitimu Wajerumani ndio team inayostahili....wameweza kuwa na discipline inayotakiwa to win it...
nakutania tu. mie kwanza ndiyo nafika home hapa ila fainali nitashangilia [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=TeamGermany]#TeamGermany [/URL] .
Siyo kwamba vilikufa kwa kupenda, Argentina walilazimisha hilo, na ofcourse walifanikiwa kupunguza kasi. Naamini hata jumapili wakivuruga mipango ya akina Mesut Ozil hutaamini kitakachotokea! Tuombe tu uzima
Ujinga mwingine unakuwa hauna mfano.
Siyo kwamba vilikufa kwa kupenda, Argentina walilazimisha hilo, na ofcourse walifanikiwa kupunguza kasi. Naamini hata jumapili wakivuruga mipango ya akina Mesut Ozil hutaamini kitakachotokea! Tuombe tu uzima
umeongea kweli watu wengi waliamini holland anasonga mbele lakini tangu wacheze na costa rica na kulazimishwa kwenda dk 120 holland ilikuwa siyo timu ya kufika mbali. Leo viungo vyao vilikufa kabisa.
kocha wa holland leo alibugi kumuanzisha mpiga penati siyo mzoefu. Kisaikolojia unakuwa aumeathirika kama ya kwanza unakosa. ona ajentina messi ameanza na nilitaraji kwa holland angeanza Roben.
Ujinga mwingine unakuwa hauna mfano.
Kama kuna timu siipendi basi ni Argentina kwanza kabisa kwa ubaguzi wao wa rangi. Umeshamuona mtu mwenye asili ya Kiafrika Argentina? jiulize kwanini na walipelekwa huko kama walivyopelekwa bara zima la Amerika.
Ukijuwa kilichpelekea Waafrika kutokuwepo huko, utaichukia daima hiyo nchi na watu wake.
Sijaelewa ni kwamba Messi ndo alipiga penat zote?au yeye ndo alidaka?au yeye ndo alipanga wapigaji?
mechi inaisha ndani ya dk 90 kwa #teammkoloni 3-1