World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Ndo hivyo mdau, tuliwapenda lakini mpira ndo ulivyo! Kwa heli RVP, kwa heri Robben kwa heri Van Gal, nenda Man U ukajaribu bahati yako

mie nimependa tu messi aonje fainali maana alikuwa anaitafuta sana katika carrier yake. Yaani jamaa amelia kabisa hajaamini.
 
Katika timu niliyokuwa nikiipenda ni Holland tokea final ya 1974 Holland na West German
Lakini kwa maneno yao baada ya kuifunga Spain ilinitoka hamu nao

German ni timu nzuri ningelipendelea wakachukuwa lakini sipendelei europe wachukuwe kombe America,

Argentina ni wazuri na nitapendelea wachukue lakini watani wao wataumia zaidi kombe kuchukuliwa na Argentia ndani ya Brazil
 
watu waliwaabudu sana netherland na hii argentina iliwasaidia kwani waliweza kujipanga. Mesi akichukua kombe nitafurahi Sana....Cristiano Ronaldo anatamani kufa huko aliko.

Sio ronaldo tu mkuu hata Tevez alijiona yy ndo bora sana kikosin sasa jeur ya kocha imeotesha matunda


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Ndiyo, sub yake ya mwisho leo ilikuwa ni Van Persie nahisi aliomba atolewe vinginevyo kocha asingeruhusu kupoteza wachezaji wawili muhimu katika upigaji penalties, VP kama mpigaji na yule goalie mzuri aliyesave 2 penalties kwenye quarter final.

leo LVG alirunout from sub nini?yule keeper wa penalt hakuingia
 
Siyo kwamba vilikufa kwa kupenda, Argentina walilazimisha hilo, na ofcourse walifanikiwa kupunguza kasi. Naamini hata jumapili wakivuruga mipango ya akina Mesut Ozil hutaamini kitakachotokea! Tuombe tu uzima

Mkuu Ozil anajaza namba tu Germany, habari yote iko kwa afisa ugavi Tony Kroos akisaidiwa na pacha ya SK na BS. Kwanza watu wanaomba Ozil aanzie bench namba yake apewe Andre Schürrle
 
Kipind Messi anaenda piga penalt imesikika saut ya mtangazaj akisema n mtu wa aina yake kutoka sayari nyingne


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Mie wasiwasi wangu ni kutokuwepo kwa Di Maria, kutokuwepo kwake kumepunguza kwa kiasi kikubwa ukali wa safu ya mashambulizi ya Argentina. Arguero itabidi aanze badala ya kuwekwa bench ili aingie baadaye.

My heart wants Argentina to win but my head is telling me...hmmm.....maybe....just maybe
 
Huu ndio unaitwa uungwana michezoni au sportsmanship, kumbe Mkoloni hakupenda kuendelea kumdhalilisha Mbrazil nyumbani kwake na wakiwa mapumziko walikubaliana kupunguza kasi.

Habari iko hapa; Hummels says Germany pledged at half-time not to humiliate Brazil http://dailym.ai/TTLtqk
 
Wewe hata darasan najua
tokeo lako litakuwa la kuunga unga,kama maneno machache haya
yamekushinda itakuweje upewe lundo???rud faceboook ndo wapo type yako


Sent from my iPhone using JamiiForums.��

Povu linakutokaaa,jibu hizo hoja au tengeneza hoja itakayonishawish kwamba Messi ndio either aliesababisha Argentina kupata zile penalts au Holand kukosa zile penalts
-Ni kweli darasani nlikuwa hamnazo ila kila wanapohitajika waliofaulu sana na mimi nipo
 
Ww knachokusumbua n akil na kujitambua,umejawa roho ya kibaguz tu,ikija dini upo na ubaguz wako afu na kwenye soka waja tena na wimbo wako ule ule,kama hujui soka kaa pemben,balotel n black fika bt mwambie kuwa ww kwenu n africa uone atakachokufanya....dunia imechange Argentina huijui ww piga kimya


Sent from my iPhone using JamiiForums.

Ewe punguani unamtaja Baloteli? hapa siongelei wachezaji naongelea Taifa zima lisilokuwa na watu wenye asili ya Afrika na ilhali walipelekwa huko kwa wingi kama sehemu zingine la bara la Amerika.

Jee, wewe unakijuwa kilichopelekea kutokuwa na Waafrika Argentina?
 
wewe kama mimi mkuu...WAJERUMANI wana discipline ya mpira hata kama huwapendi unawakubali,,,,Messi kweli anastahili but kitimu Wajerumani ndio team inayostahili....wameweza kuwa na discipline inayotakiwa to win it...

Hii team ya Ujerumani haina superstar kama ilivyo Brasil na Neymar au Argentina na Messi.

Haijaundwa around superstar mmoja tu. Halafu wako balanced vizuri.

Wana-epitomize vizuri sana concept ya team.
 
Daaah ni kwere sana mkuu,sneider kapga penati moja matata kipa amehama ila bahat mbya imegonga post mkuu!
 
Ewe punguani unamtaja Baloteli? hapa siongelei wachezaji naongelea Taifa zima lisilokuwa na watu wenye asili ya Afrika na ilhali walipelekwa huko kwa wingi kama sehemu zingine la bara la Amerika.

Jee, wewe unakijuwa kilichopelekea kutokuwa na Waafrika Argentina?

I get ur point FaizaFoxy, she is right!
 
Last edited by a moderator:
THE BLOG
Why Are There No Black Men on Argentina's Roster?
Rachel Décoste 07/09/14 05:52 PM ET
As the 2014 FIFA World Cup winds down, several news publications have released sociopolitical observations on Brazil and other World Cup-contending nations, including parallels to immigration and integration. These mind-bending pieces trace socio-political history through the lens of futbol. It should be expected that the "rainbow nations" which were conceived by the blend of American-Indians, Spaniards and enslaved Africans would reflect their diversity in their soccer clubs.

South and Central American clubs representing Columbia, Honduras , Costa Rica, Ecuador , Uruguay , Chile all showcase the diversity of their nations. Despite their enduring racial discrimination problems, they have leveraged black athleticism to carry their teams to contention in the Copa del Mundo.

Curiously, Argentina's club does not follow the trend.


There are no black players on Argentina's roster. Actually, there are hardly any black people left in Argentina period.

In colonial times, the proportion of Africans hovered around 50 per cent in half of Argentina's provinces. General José de San Martín, the revolutionary who lead the charge to gain independence from Spanish rule, estimated that there were 400,000 Afro-Argentines who could be recruited to his armies. Black men made up 65 per cent of his troops.

The 2010 census puts the Afro-Argentine population at 150,000, or less than half of one per cent.

How did the Africans disappear? Although slavery was abolished in Argentina in 1813, many Afro-Argentines were still held as slaves. Emancipation was promised to those who would fight in Argentina's wars. Most African men signed up with hopes of winning their freedom. They were sent to the front lines. Most perished while fighting for a country that did not recognize their rights or humanity.

Until 1853, the law forced slave owners to cede 40 percent of their slaves to military service. The promise of manumission was offered to those enslaved persons who completed five years of service -- a promise rarely kept.

Over the years, overt and covert government sanctions promoted ethnic cleansing and, some say, genocide. Argentina is now South America's whitest country (97 per cent according to the CIA World Factbook). Argentinians themselves have purged their African roots from their socio-historical landscape and conscience.

What you won't read in the tourist tomes like Fodor's and Lonely Planet is that the country was built essentially by slave labour. Countless edifices, including the Estancia Santa Catalina of Cordoba, a Jesuit estate founded in 1622 now part of UNESCO's World Heritage sites, were built and maintained by enslaved Africans. This particular estate still has the slave quarters, small mud structures, outside the compound. It is one of few pieces of evidence of slavery remaining.

As Argentina refuses to authenticate the dowry which transatlantic slaves bequeathed to their nation, the truth cannot be contained. Historians uncovered that the tango are Afro-Argentine endowments as well.

There is a theory that diversity is good for team performance in soccer, and in the overall health of any society. Whether Argentina is an outlier is still up for debate.
(Google, 10 July, 2014)
 
Historia imejirudia 1986 World Cup Final Argentina vs Germany the Winner Maradona, 1990 World cup Final the Winner Klinsmann. Tusubiri mwaka huu tuone nani atashinda?
Btw, Holland ni timu moja yenye bahati mbaya kuliko nchi zote zilizowahi kushiriki katika kombe la Dunia. Imefika fainali mara 3 na kutoka ziro, imefika nusu fainali mara 4 na imetoka ziro.
Nzi, what happened to our EPL New master Tactician leo?
 
Back
Top Bottom