everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,027
hujanijibu nije au nisije.....
Mhh!! Usije bana umeninyima ice cream yako jana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hujanijibu nije au nisije.....
Spot on!
Hata gemu ya jana si kwamba Ujerumani ili dominate kivile. Hapana.
Ni kwamba tu walipozipata fursa za kufunga, wakafunga magoli na hicho ndo kilichoua kabisa morali ya Brasil, hususan yale magoli manne ndani ya dakika sita.
Na haijalishi wewe ni nani, hata kama Ujerumani ingepigwa magoli manne ndani ya dakika sita wange-collapse tu.
Asante umekuwa rafiki mwema kwetu,hope fainali hatutakwazana tutakuwa marafiki bado.
No thank you!sitaki pressure kuna Enzo Peres na Lionel Messi watakuwa wakishika mpira moyo unakwenda mbio,nimeamua kuwa teamless
Heaven on Earth kadisapear kabisa...but ice cream yako ipo...Bwan'nchuchu anarekebisha soon....Mhh!! Usije bana umeninyima ice cream yako jana.
No thank you!sitaki pressure kuna Enzo Peres na Lionel Messi watakuwa wakishika mpira moyo unakwenda mbio,nimeamua kuwa teamless
Unaamini kwenye bahati?
Messi deserve to win it....but team Germany nayo deserve it also.....so...
heheheheh
hivi hawawezi fungua kesi mahakaman kesi ya UDHALILISHWAJI
Mchezaje mwenye record ya
kipekee ktk ulmwengu wa soka Lionel Messi amedhihirisha kuwa n kweli yu
kiumbe alieshushwa kwenye hii sayari ya dunia kwa kuiwezesha timu yake
kuingia final baada ya miongo kadhaaa kupita,leo messi ameiongoza
argentina kuitandika vibaya timu ya Netherland kwa
mikwaju ya penalt baada ya muda wa nyongneza kuisha..��
Narudia tena kombe linaenda Argentina. Before mechi ya Leo walisema argntn hataweza kumtoa kibabu ila km mlivyoona katokomezwa sasa nasema tena German hachukui kombe. Hivi argntn hawajui wako WC? Unadhani hawatajiandaa? German ni mwamba ila Argentina watajipanga pia kumuweka kwapani. Lazima simba apakatwe anyweshwe maziwa.
Mhhhh! haya bana, thanks for your company, if you change your mind please feel free to come back.
haa haa nadhani wanaweza...kwi kwi kwi
Sijaelewa ni kwamba Messi ndo alipiga penat zote?au yeye ndo alidaka?au yeye ndo alipanga wapigaji?
Ni Messi tu aliyefanya niwe mshabiki wa Argentina leo, napenda sana huyo dogo apate kombe la Dunia lakini as a team, hakuna anayestahili zaidi ya Mkoloni
You are welcome, siwezi kurudi huko tena kwa sababu ya kocha wenu alichomfanyia kijana wetu Carlitos ila kila la kheri