World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Duh! Nililala kidogo ili kupunguza kausingizi kidogo, ila nilivyo amka siamini ninacho kiona kwenye vyombo vya habari, hivi nikweli Uruguay kafungwa? Maana kabla ya kuamua kulala niliacha anaongoza kwa goli moja, dah mpira kweli hauna adabu.


Laana ya Sures kutuzulum ghana kwa kudaka imewarudia wenyewe 3-1
 
Hawa England wanaweza kumnyea mtu leo, tungoje tuone.
 
Hili gemu kwa sasa halijaeleweka baada ya dk 15 tutaona mwelekeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…